AU Institutional Repository

Mitindo ya Lugha ya Kidijitali katika Facebook

Show simple item record

dc.contributor.author Mahero, Bernard Toboso
dc.date.accessioned 2023-12-05T10:36:44Z
dc.date.available 2023-12-05T10:36:44Z
dc.date.issued 2021-01-01
dc.identifier.citation Mahero, B. T. (2021). Mitindo ya Lugha ya Kidijitali katika Facebook. Utafiti Foundation. en_US
dc.identifier.uri http://41.89.205.12/handle/123456789/2231
dc.description Uvumbuzi wa teknolojia ya intaneti umesababisha kuzuka kwa lugha mpya katika mitandao, ambayo sasa inarejelewa kama lugha ya kidijitali. Kitabu hiki kinajadili mitindo mbalimbali ya kimawasiliano inayotambulisha lugha ya kidijitali katika mtandao wa Facebook. Katika kufanya hivi, kitabu kinabainisha sababu ambazo zimechangia kuibuka kwa lugha hii na kufafanua matatizo ya kimawasiliano yanayotokana na matumizi ya mitindo anuwai ya kimawasiliano katika Facebook. Kitabu hiki, kadhalika, kimeangaza kwa kina ruwaza za lugha ya kidijitali na kubainisha kategoria za mitindo yenyewe en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Utafiti Foundation en_US
dc.subject Lugha en_US
dc.subject Kidijitali en_US
dc.title Mitindo ya Lugha ya Kidijitali katika Facebook en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Repository


Browse

My Account