Mahero Toboso, Bernard; Kandagor, Mosol
(Mwanga wa Lugha, 2018)
Upishanaji zamu ni mkakati maarufu katika mawasiliano ya ana kwa ana. Hii ni miafaka ambayo hutawala mawasiliano na kuasaidia wazungumzaji kuasiliana bila kuwepo kwa mizozo ya kizamu. Facebook, hata hivyo, ni mtandao ...